Recent content by Ramsey255

  1. Ramsey255

    SoC03 Uchumi bora utawala bora

    Tuko pamoja
  2. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Samahani unamaanisha nini katika hilo?
  3. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Hapana sio ukuda, Naomba tafsiri ya huo ukuda ukuda unaousemea
  4. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Si kweli unaongea kitu ambacho hukifahamu, Naomba unitajie majina kamili na wasifu kwa ufupi ukionesha hayo unayoyasema kumhusu mwanzilishi wa Skauti Duniani
  5. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Si kweli unaongea uongo, Toa ushahidi au source ya hizo taarifa zako.
  6. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Nimerejea je ni kitu gani unachosemea haswa?
  7. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Asante kwa swali lako! Unaweza kujiunga na Skauti huku ukifanya majukumu mengine kwa sababu programu za Skauti mara nyingi inaruhusu kufanyika katika muda wa ziada, Hivyo inakuoa wasaa wa kufanya shughuli mbalimbali. Hakuna Mwisho wa kujiunga na chama cha Skauti, Kinachotokea ni kwamba kuna...
  8. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Mimi ni nimefanya mafunzo mbalimbali ya Skauti na sijaona aina yeyote ya kuandaliwa kua chawa, je unalolisema uliliona wapi au unauzoefu wa kulielezea
  9. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Sio kweli kabisa, Skauti haipo kwa sababu ya uchawa kama unavyosema, Skauti sio siasa sio mtu ni asasi na ni chama ambacho kina misingi, kanuni, mfumo, program, katiba n.k na kwa ufupi skauti inawekeza nguvu yake kubwa katika masuala yafuatayo: 1. Maendeleo ya Vijana - Skauti inajenga vijana...
  10. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Nashukuru karibu sana Mkuu
  11. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Skauti na Suma JKT ni vikosi viwili tofauti vya uhamasishaji wa vijana nchini Tanzania. Hizi ni tofauti za vikundi hivyo: 1. Skauti: Skauti ni shirika la kimataifa lenye lengo la kufundisha na kukuza malezi ya vijana. Skauti inalenga kutoa mafunzo kwa vijana ili waweze kuwa raia wema, wenye...
  12. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Hapana skauti hakuna hayo mambo na hakuna masuala kama hayo katika program zake zozote na wala hakuna uhusiano wowote katibya Skauti na Ubeberu wala hayo mausala ya Upinde
  13. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Naomba ufafanuzi kuhusu hii Video
  14. Ramsey255

    Kwanini tusipuuze uskauti nchini?

    Hapana kwa sasa sio huyo.
Back
Top Bottom