Madhara sikuyaona kwa sababu nilitumia njia salama kuliko za Mr Verosa ila sasa kuacha huwez kirahisi ni ngumu mno mm nimeacha katika hali ya mkiki mkiki na nwili wangu
Mimi npo kwenye zoezi gumu maishani mwangu na pengine sikuwahi kupata tangu nazaliwa Nimejipa adhabu ya kuacha kupiga nyeto na sasa siku zinakatika huku kuna muda hisia za hili tendo linakuja nakupingana nalo Acha usijaribu kama hutaki endeleaa kk
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.