Hello Great thinkers!
Nilikuwa nafatilia kurekebisha jina lililokosewa kwenye kitambulisho changu cha NIDA nikagundua kuwa inachukuwa muda sawa na kujaza UPYA form ya NIDA registration UPYA . Shida yangu Ni ya mwezi huu huu wa 10.
Alternative ni (Voters ID), Cha mpiga KURA, Ambacho sina...
Habari zenu Great thinkers!
Nimekuja na swala jipya linalolenga maada kuhusu nembo ya Tbs kwa brand za wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo wabogo au level yoyote. Nauliza swali kama kuna yeyote ambaye alishawahi kufatilia Nembo ya TBS na anayo ama kusikia popote naomba atusaidie gharama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.