Recent content by Ramla Nyanda

  1. Ramla Nyanda

    Uwezekano wa degree holder( Bsc with education) kusomea masters mambo ya Medicine au Pharmacy.

    Samahanini nami naomba niulize, mwenye bachelor of science with education (bios&geog) anaweza kuchkua master's ya nini na nini?
  2. Ramla Nyanda

    Kujiendeleza kielimu

    Samahani jaman nina swali, hiv mwenye bachelor of science with education anaweza kuchukua master's gani?
  3. Ramla Nyanda

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Mi Mi nauliza serious kunaishu nataka nifanye so nataka kujua nina muda gani
  4. Ramla Nyanda

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Samahanini jamani hivi inachukua muda gani mpaka kupangiwa kazi?
  5. Ramla Nyanda

    Jinsi ya kuomba ajira za ualimu kwa mfumo wa OTEAS na changamoto zake

    Samahani aliyekuwa macho, kuomba kazi ya ualimu kunakuattach barua tunatumia address gani kutuma hiyo barua?
Back
Top Bottom