Recent content by ramadhani senzia

  1. ramadhani senzia

    Eti mfamasia na clinical officer

    ndio nataka nifanye hivyo nianze na ngazi ya cheti then nikachukuwe diploma
  2. ramadhani senzia

    Eti mfamasia na clinical officer

    kuna vyuo unaweza ukachukuwa certificate na diploma miaka 4 wale walio maliza form 4 ambao hakupitia A' level
  3. ramadhani senzia

    Eti mfamasia na clinical officer

    kwhiyo unanishaur niende wapi??bro
  4. ramadhani senzia

    Eti mfamasia na clinical officer

    Veep kuhusu lahisi kuhajiliwa????,mishe mishe hapo na pale bila Kutegemea mshahara...
  5. ramadhani senzia

    Eti mfamasia na clinical officer

    nasomo ya science Nina math D,Biology C,Physics D,Chemistry D.....hapo vp
  6. ramadhani senzia

    Eti mfamasia na clinical officer

    ncje baaday nkajilahumu,ishu kupata ajira kwa ulahsi,ncje nkasota baba.......
  7. ramadhani senzia

    Eti mfamasia na clinical officer

    mm ni mwanafunz nliohitimu elimu ya sec. mwak jana naomb ushaur,clinical officer na pharmacy kw sasa ipi inalipa?, yaan kimshahara..........
  8. ramadhani senzia

    Afya

    mwenye diploma
  9. ramadhani senzia

    Afya

    eti mshahara wa mfamasia shilingi ngapi?
  10. ramadhani senzia

    Naomba kufahamishwa vigezo vya kusoma Diploma ya Medical Laboratory Muhimbili

    mida wa kuapply bado ni wale walio kusa vyuo mwaka 2015 kidato cha 4
  11. ramadhani senzia

    NACTE CAS net majanga

    eti muda wa kuapply tayari walio maliza mwaka 2016 kidato cha NNE?
Back
Top Bottom