Recent content by Ramadhani J Uledi

  1. R

    Mwanasheria mkuu wa Zanzibar ajitoa katika uandishi wa Katiba

    Katiba mpya ni ngumu kupatikana hivi sasa kwa sababu wananchi wameshatengwa ki mawazo na wala hawaaminiki tena na utawala
  2. R

    Prof. Shivji aitwa Bunge Maalum la Katiba kupigia msumari wa serikali mbili

    Ili mradi uonyeshe SLAVISH MENTALITY unawaita wenzio wapokea pesa kutoka Nje je! wewe unapokea toka wapi? "DAIMA WANANCHI KWANZA KULAKULA BAADAYE"
  3. R

    UKAWA kusambaratika Kesho

    Ni kweli Dhamira ya mahakama ya KADHI ni UTENGANO?au kuthaminika na kutambulika kwa jamii fulani na taratibu zao? kama wewe unajithamini ziheshimu imani za wengine kama huyajui si ujinga kuuliza usimpake mwenzio matope wakati wewe umetapakaa kinyesi
  4. R

    Wabunge 120 wa CCM kujiunga UKAWA wakati wowote kuanzia sasa

    Kama ni waumini wa kweli na haki Mungu awabariki na awasahihishe walipokosea "DAIMA WANANCHI KWANZA KULA KULA BAADAYE"
  5. R

    Maendeleo mapya: Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Uzalendo

    Nilivyo kuelewa kama vile una tetea mawazo ya waliopo madarakani kwa upande mmoja maana ikiwa msingi wa katiba kulinda haki na uhuru vipi mambo haya yajadiliwe kwa upande walio teuliwa na utawala tu?
Back
Top Bottom