Recent content by Ramadhan Yazid

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane ushauri kidogo Wakuu.

    Nina mdogo wangu anataka kuanza Chuo mwaka wa kwanza(Certificate). Nauliza hivi itakuwa ni vyema kama atasoma . INSURANCE AND SOCIAL PROTECTION?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo

    Dar es salaam Mkuu.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo

    Nadhani tuanze na za kike.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo

    Asante sana, Mkuu. Nitafikiria hilo kwa kina zaidi kama ulivyo changanua.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo

    Nina mtaji wa milioni 1, nataka kufanya biashara ya nguo kwa hapa Dar es Salaam. Je, nifanye nini kwanza cha msingi? Mchango wa mdau
Back
Top Bottom