jamani wadau naombeni ushahidi wenu kuhusu jkt kwa form six-2015 kwa sababu kuna rumours kwamba mara jkt haipo ni blogs ndo zimetengeza hii taarifa na kuhusu serikali haijatoa tamko lolote!! Je ni ukwel serikali haijatoa tamko kuhusu jkt kwa form six-2015 kuwa wanaenda jkt!! Naomben mnipe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.