Recent content by Rama ngwea

  1. Rama ngwea

    Madumu ya maji

    Ndugu zangu naitwa Rama naishi Temeke Dar es Salaam nilikua naomba kuuliza kwa yeyote ambae anaweza jua mahali ambapo madumu yenye rangi nyeupe na yenye ujazo wa litre 30 Yanaweza kupatikana sehem gani katika jiji la Dar es Salaam
  2. Rama ngwea

    Madumu meupe yanapatikana wapi?

    Jaman nlikua naomba mnijuze bei ya madumu meupe ya lita thelathini na yanapatikana wapi
Back
Top Bottom