Recent content by Rama mbwambo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Miaka 30 ya Vyama Vingi - Changamoto na mustakabali kusonga mbele

    Hongera sana mh Rais na mama yetu hakika tunaona natunashughudia ukifanya makubwa nia yako nikuiona nchi yetu inapata maandeleo ya hali yajuu
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya kwa walimu na kada ya afya

    Hawa wa 750000 walianza lini?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa hadi 2024 na 2025 hakuna Katiba Mpya wala Tume Huru ya Uchaguzi nini Kitatokea?

    Hana lolote ccm mbele kwa mbele
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hili lisemwe na kuoongezwa!

    Kwekweli mama yupo vizuri sana Mungu ambariki
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

    Unaweza kutuwekea hayo mahojiano hap
  6. R

    JamiiForums Tanzania Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Kwanini hawezi kua ? Mbona 1984 baba yake alikua Raisi Wazanziba 1985 akaja kugombea huku bara na akawa Raisi Wajamhuri yamuungano Watanzania
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Barabara ya Mbeya- Chunya ni zaidi ya majanga

    Serekali
  8. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Wahuni hawa ,mama piga kazi tunakupenda kwa kazi nzuri unazozifanya
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    Sema mama Watanzania tunakupenda tupo nyuma yako 2025 niwewe tu hatuna mwingine
  10. R

    JamiiForums Tanzania 2025 yupo mpinzani wa kushindanishwa na Rais Samia Suluhu

    Ndugu madarasa yaliopo kwa upande wasekondari yanatosheleza kabsa tuwe wakweli Mungu anatushuhudia ,shule za msingi ndio bado kuna uhaba Wa madarasa ila mama yupo mbioni kupeleka hela Shule za msingi pale serekali inapofanya vizuri tuisemee ,pale pakukosoa tukosoe ,barikiwa sana
  11. R

    JamiiForums Tanzania 2025 yupo mpinzani wa kushindanishwa na Rais Samia Suluhu

    Wewe huko kenya huoni hadi wanapanga foleni ,mafuta kufikia hiyo bei ni hali ya ulimwengu,
  12. R

    JamiiForums Tanzania 2025 yupo mpinzani wa kushindanishwa na Rais Samia Suluhu

    Ahsant ,hapo kwa mungu siwezi bisha
  13. R

    JamiiForums Tanzania 2025 yupo mpinzani wa kushindanishwa na Rais Samia Suluhu

    Kama kuna kupokea 7500 mimi sipo naongea kile tunachokishuhudia katika utawala Wa mama
  14. R

    JamiiForums Tanzania 2025 yupo mpinzani wa kushindanishwa na Rais Samia Suluhu

    Kwani wewe huoni mama anavyoupiga mwingi, pita Shule za sekondari utaona hayo madarasa ,mama yupo vizuri sana
Back
Top Bottom