mimi sikulipot chuon mwaka jana nikawaandikia barua heslb na sasa nikaomba upya nikapata chuo.
so nawasikilizia kama watanipa tena au laa.
au ndo mpaka nikaripot tena heslb?
jaman kuna jamaa zangu alifanya sec round udom bach of science with physics ila selection zilivyotoka hawamo na kwenye hyo program kuna watu 37 tu!! sasa kuna sehem kuna majina mengine au watatoa tena majina?
eti nasikia kuhama program hapo sua ni mtiti mpaka uwe na marefarii na maranzmen kibao!!! eti ni kwel wadau au ndo fununu. maana nimechaguliwa hortculture hapo afu siielewi elew.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.