Recent content by Rajabu Msechu

  1. Rajabu Msechu

    Nahitaji moderm ya halotel

    Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, mwenye moderm ya Halotel ambayo ipo kwenye hali nzuri anijulishe mara moja. Kwa Wale walioserious wanicheki Inbox.
  2. Rajabu Msechu

    Msaada kuhusu mfuko wa Taifa wa Bima ya afya

    Ofisi zao zipo Barabara ya Cocacola sehemu pale?
  3. Rajabu Msechu

    Msaada kuhusu mfuko wa Taifa wa Bima ya afya

    Duh! Kwaiyo kwa 1.5m inaisha muda gani? Na inakuwa ya watu wangapi?
  4. Rajabu Msechu

    Msaada kuhusu mfuko wa Taifa wa Bima ya afya

    Asante sana mkuu, sema ndg "Osaka" ameniambia kwa upande wa kinondoni zipo maeneo ya cocacola japo hajanifafanulia ipo kwa upande gan maana eneo lile lina ofisi nyingi
  5. Rajabu Msechu

    Msaada kuhusu mfuko wa Taifa wa Bima ya afya

    Sawa mkuu, nafika kbs kwny kiwanda cha coca au ipo nyuma ya Nabaki Africa au chuo cha tudarco?
  6. Rajabu Msechu

    Msaada kuhusu mfuko wa Taifa wa Bima ya afya

    Wasalaam memba wote wa Jf. Matumaini yangu mu wazima wa afya. Nahitaji kufahamishwa zilipo ofisi za NHIF wilaya ya Kinondoni. Je, kwa mjasiriamali kama mimi naweza nikapata Huduma ya bima iyo pmj na familia yangu? Gharama zake zikoje kwa mtu anayetaka kufungua daraja la tatu yaani Bronze...
  7. Rajabu Msechu

    Nataka kuplay music kwa Bluetooth.

    Asante kwa muongozo mkuu,..ngoja nifanye ivyo...
  8. Rajabu Msechu

    Nataka kuplay music kwa Bluetooth.

    Nahtaj mnisaidie kunielekeza jinsi ya ku-play music kwa Bluetooth kwny gari. Aina ya gari ni Toyota Crown Athlete. Napenda kuwasilisha
  9. Rajabu Msechu

    Napiga bei raba zangu bei poa kbs

    Hali sio mbaya nimeamua kuvipiga bei maana sivivai na bado vinafaa kwa matumizi...mguu wng mdg mkuu
  10. Rajabu Msechu

    Napiga bei raba zangu bei poa kbs

    Kaka sijasema converse ni 80k, Bali bei ya raba zote hizo ni 80k na mazungumzo yapo
  11. Rajabu Msechu

    Napiga bei raba zangu bei poa kbs

    Huruma ya nn? Jf kuna vituko
  12. Rajabu Msechu

    Napiga bei raba zangu bei poa kbs

    Nimevipigilia mwezi mmoja mkuu, bdo vinadai ka vinavyoonekana
  13. Rajabu Msechu

    Napiga bei raba zangu bei poa kbs

    Habari zenu waungwana wa jukwaa hili. Kama tangazo linavyojieleza, kimfaacho mtu chake. Nauza raba zangu mbili, nimezivaa kwa takribani mwezi mmoja. Zipo kwenye hali nzuri kabisa, size ni 10uk. Nimeamua kuziuza sababu zimekuwa kubwa kwangu. Raba zenyewe ni 'Air Jordan Retro 1-High Top(Black &...
  14. Rajabu Msechu

    Kituo cha mabasi Makumbusho kinaharibiwa

    Habari za asubuhi great thinkers wenzangu, natumaini kwa uwezo alitupatia mwenyezi Mungu hatujambo. Nimeona ni jambo la mbolea kuleta uzi huu kwenye jukwaa hili hasa baada ya uchunguzi yakinifu nilioufanya kwenye kituo cha mabasi Makumbusho. Wazungu wanakwambia, "No Research, No Right To...
Back
Top Bottom