Recent content by Rajabu mjanga

  1. Rajabu mjanga

    Natafuta kazi ya upishi

    Pia ni kazi , unapatikana wapi
  2. Rajabu mjanga

    Natafuta kazi ya upishi

    Naweza kupika vyakula vya kitanzania pia ,
  3. Rajabu mjanga

    Natafuta kazi ya upishi

    Habari, Mimi ni kijana ninaumli wa miaka 23, ni mvulana kwa sasa naishi Zanzibar, ila nyumbani ni Dar es Salaaam, nimejifunza kazi ya upishi na ninauzoefu wa kupika tokea 2019 mpaka sasa 2022. Najua kupika vyakula vya Indian food, Asia food, Americans food, tacos za Mexico na pasta za Italian...
Back
Top Bottom