Recent content by rajab degi

  1. R

    Uchaguzi 2020 Faida ya Prof. Kitila kwa Ubungo, Dar

    Boniface Jacob bado hatoshi kwenye uwakilishi,sababu yeye ndio alikua meya na diwani lakini miundo mbinu ya mitaa ilizidi kuharibika na kuwa mibovu kipindi chake. Hakua kiunganishi kizuri Cha utendaji Kati ya halmashauri na serikali kuu,kwa kuweka harakati binafsi mbele kuliko maendeleo ya Jimbo...
  2. R

    Uchaguzi 2020 Faida ya Prof. Kitila kwa Ubungo, Dar

    Huyu ni aina ya watu ambao jamii ya tanzania inahitaji kuwa nao ili kusonga mbele,ni hazina ya kidumu na zao bora la mfumo wa elimu wetu.. Binafsi nimepata kupita kwenye mikono yake,ni mwalimu mzuri.ni mshahuri mzuri lakini zaidi ni mchapakazi mzuri mwenyw fikra za kizalendo na kimaendeleo.in...
  3. R

    UZALENDO KWA WANANCHI WAONGEZEKA

    Ingawa elimu ya uraia kwa mtanzania wa kawaida bado inahitajika Sana.binafsi napenda kukiri Sasa taifa la Tanzania na watu wake wameanza kujielewa na kuzidisha UZALENDO kwa taifa. Miaka ya nyuma kila lilipotokea Jambo lolote linalohusu serikali,taifa na mataifa wananchi waliowengi hawakuwa...
  4. R

    Uchaguzi 2020 Yaliyojijiri katika uzinduzi wa Kampeni za Prof. Kitila Mkumbo

    Leo mgombea ubunge wa Jimbo la ubungo kwa tiketi ya CCM, ndugu Prof. Kitila Mkumbo amefanya Mkutano wake wa kwanza wa uzinduzi katika viwanja vya #EPZA na haya ndio yaliyojiri
  5. R

    Uchaguzi 2020 Update kutoka Monduli kwenye uzinduzi wa kampeni za mtoto wa Lowassa

    Fred Lowassa mgombea wa Ubunge Jimbo la MONDULI kwa tiketi ya chama Cha mapinduzi(CCM) ,Leo anaanza rasmi kampeni zake za ubunge kwa Jimbo Hilo la Monduli. Na hizi ni update za picha katika Mkutano wa Kampeni za Jimbo la Monduli - Viwanja vya Barafu, Kata ya Mto wa Mbu. (02/09/2020)
  6. R

    Elimu ya mlipa kodi yachangia kwa kiasi kikubwa mapato kuongezeka

    Ni matusi haya mmh TRA haya hongereni, mlete maendeleo sasa serikali muache magumashi.
  7. R

    Elimu ya mlipa kodi yachangia kwa kiasi kikubwa mapato kuongezeka

    Kiwango cha juu sana makusanyo ya mwezi Aprili TRA hongera kwa ubunifu ni aibu kwa serikali zilizopita.
Back
Top Bottom