Recent content by Raj kapool

  1. Raj kapool

    Nani ametisha kwenye ngoma ya Underrated?

    Msodoki ni mwamba, Uwezo wake ni wa kushindanishwa labda na waliomzidi umri sio hawa kina bishoo, Kimya, young d na ma young Wengine wote, Dogo ana Iq kubwa mnoooo.
  2. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Vinicius Jr ndiye mchezaji bora wa mwezi wa Real Madrid.
  3. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kuja juu maana yake nini?
  4. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Mimi niliandika Jude Bellingham ameshinda tuzo ya Laureus World Breakthrough of the Year, 2024, Tuzo ya Laureus ni ya Mchezaji bora wa dunia mwenye mafanikio 2024. Najua wewe iliyokutatiza ni hiyo Mistafi mi3 ya mwisho, Na ilikutatiza Kwa sababu hukutaka kuelewa unapenda kubishana, Labda...
  5. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Haya yapeleke haya maneno kwenye Kilugha chenu Yana maana gani?
  6. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kungekua hakuna haja ungekaa kimya toka juzi au tungekua kwenye mada ingingine, Ila kwakua haja ipo ndomana umekomaa, Sasa lazima twende sawa, mi nimekagua post zangu hakuna nilipokosea wala kurekebisha ni vile vile Tu, Sasa Chagua moja Lete post niliyopotosha au utuambie kwann unachukia Jude.
  7. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ilete hiyo taarifa na onyesha ilipopotosha mbona simple tukwan nimeifuta?
  8. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ishii we jamaa huenda Una stress, hoja yako iko wapi na nachokimbia kikowapi.
  9. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Maelekezo yangu sio tatizo, Dish lako ndio tatizo halipokei mawimbi vizuri Kwa sababu limeyumba, Kwani mwanamichezo Alieibuka ni yeye au kashindanishwa? Na Kama kashindanishwa wameangalia kigezo kipi mpaka kumpa tuzo Jude Kama sio ubora? Nimegundua unakaza Sana fuvu mkuu achana na hizo mambo...
  10. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    We ambacho hutaki kipi?Kama kigezo ni kuibuka si wangewapa wote walioibuka kwani kaibuka yeye Tu? Jude Bellingham kaibuka na kafanya vizuri kuliko wote duniani ndomana kapewa tuzo.
  11. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Hatari aisee jamaa anataka tuwe bize na yeye tu
  12. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Huu ubishi wako itabidi uwe unalipia sasa tunachoka kukuelimisha.
  13. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kwahyo ulitaka iitwe balon d or sio?
  14. Raj kapool

    Hii ni moja ya sababu ya mafanikio ya alonso msimu huu

    Sisi Madrid tunamuombea mema Dortmund UCL, Ili tuchukue ndoo kirahisi
  15. Raj kapool

    Ten Hag hana akili sawasawa kitendo cha kuwatoa wadogo Ganacho na Mainoo kimempalia makaa. Unadhani atachomoka

    Yule kipara feki Hana anachojua linapokuja swala la mbinu
Back
Top Bottom