Search results

  1. Raj kapool

    Aina za ndoto na maana zake, baadhi ya ndoto na maana zake

    Niliwahi kuota nina mkwe wangu tayari, kajifungua watoto mapacha watatu, wa kike wawili wakapotea nikabaki na mmoja wa kiume ambaye nikampa jina la Ibrahim. Yeye alivyozaliwa tu, muda huo akawa anatembea na pia anaongea. Je, inamaanisha nini hii ndoto? Kumbuka nipo single Sina hata mke...
  2. Raj kapool

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Wabantu
  3. Raj kapool

    Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Hao unaowaamini na Huyo usie muamini wote wanakujua? Kwahyo kuamini na kutokuamini kwako hakubadilishi chochote.
  4. Raj kapool

    Simba vs Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Mafarao wamekuja na kila kitu Hadi mapipa, Wamesahau kuja na uwanja Hiyo ni Mistake wamefanya, Maana tukitumia uwanja wa mkapa hatoki MTU.
  5. Raj kapool

    Nimeanza kuwa mature kiakili

    Ivo yani
  6. Raj kapool

    Benchika atangaza vita dhidi ya Al Ahly

    Nasikia Mafarao wamekuja na kila kitu kasoro uwanja Tu. Hiyo ni Mistake wamefanya, Kwa mkapa hatoki MTU labda aje na uwanja wake.
  7. Raj kapool

    Nimeanza kuwa mature kiakili

    Ukimchimba vizuri Huyo Mzee ana Madini, Hao ndio Wazee wa kukaa nao chini kuongea kuhusu life
  8. Raj kapool

    Emma siku hizi umekuwa mvivu sana, kimoja kweli?

    Mna macho vijana mpaka unasoma SMS simu ya MTU mwanzo mwisho bila kuishika. Hayo macho mngekua mnatumia kuchungulia fursa Nchi ingekua mbali.
  9. Raj kapool

    Nimeanza kuwa mature kiakili

    Hiyo ela yako haina uhusiamo na mazishi Ila kutoa kwako kutafanya na yeye akuweke daraja la miongoni mwa watu wake wa maana. Ulimbukeni wako na ujuaji wa hovyo pamoja udadisi wako wa kitoto kuchunguza kila kitu vimekufanya Ujivunjie heshima Kwa mheshimiwa alikua anakuheshimu na kukamini.
  10. Raj kapool

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Ngoja nikomae mkuu
  11. Raj kapool

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Nami ngoja nianze Rasmi maana naona uzee unanikuta nikiwa hata sijafika 30 years
  12. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Camavinga alipata pancha kidogo
  13. Raj kapool

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Wachezaji wa Real Madrid usiku huu, • Arda Güler anaanza akiwa na Uturuki • Toni Kroos na Rudiger wanaanza huko Ujerumani • Cama & Tchouameni wanaanza Ufaransa • Fede Valverde anaanza Uruguay • LUNIN anaanza na Ukraine • Jude Bellingham anaanza kwa Uingereza • Luka Modric anaanza...
  14. Raj kapool

    Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

    No 2 upana wa K ni sawa na upana wa mdomo Kama kuna Ka ukweli iviii, na Urefu wa vidole ndio sawa na Urefu wa kina chake.
  15. Raj kapool

    Haji Manara: Ahmed Ally ni shabiki kindakindaki wa Yanga

    Sa Huyu si alisema alifanya kazi Simba Kwa kujitolea hakuna akipata chochote, Sa alikua anajitaftaje mnafiki huyu. Sijawahi kua shabiki wa maneno maneno hata alipokua timu yangu Simba alikua ananikera vile vile.
  16. Raj kapool

    Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

    Huyu binti Kama namjua vile ndomana nimeshangaa kaomba nambangu sehemu ili anitafte, Kumbe kuna kesi hii. Haya bhana kila lenye kheri liwe mbele yake Ray. Atampata Tu
  17. Raj kapool

    Kibabage inatosha sasa, tumechoka

    Kwani si ushasema kuna mpishano mkubwa baina yake na Lomalisa sasa unacholaumu nni? Na pia sio mara yake ya Kwanza kucheza Chini ya kiwango si ndio?
  18. Raj kapool

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Feisal Salum Toto " Zanzibar Finest " Last born wa taifa kutoka Kizimkaz . Kiungo wa Mali kabisa huyu mabao 13 ya NBC premier League , mnataka nini tena ? Nae muwekeni kwenye mijadala yenu au kwakuwa ni Mtanzania ? Dogo analijua boli [emoji1316]
  19. Raj kapool

    Pumzika Sanctus Mtsimbe, Kazi Umekamilisha, Mwendo Umeumaliza. Asante Kutuachia Hazina Kubwa ya Maarifa Humu JF Tutakuishi Milele!. Pumzika

    Hakuna habari mbaya Kama ya msinmba Apunzike Kwa Amani Mwamba kabisa Huyo. Kumbe MTU mzito alikua.
Back
Top Bottom