Recent content by RaisMtarajiwa

  1. RaisMtarajiwa

    Waziri wa Maji atua DAWASCO; Awafuta kazi mameneja 9 akiwemo Mkurugenzi Mstaafu

    TANZIA: MAMA YETU KIPENZI MH. PROF. ANNA KAJUMULO KAKUHIRWA TIBAIJUKA AMEFIWA NA MAMA YAKE MZAZI AITWAE AULERIA KAJUMULO SIKU YA ALHAMISI TAR.10.3.2016 KATIKA HOSPITALI YA KAGONDO KAGERA. MUSIBA UPO NYUMBANI KWA MAMA YETU PROF. ANNA TIBAIJUKA AMBAE NI MTUMISHI WA WANANCHI NA AMEWAHI KUSHIKA...
  2. RaisMtarajiwa

    Meya wa manispaa ya ilala jerry slaa anatumia maadaraka yake vibaya kwakuwahadaa wapiga kura ukonga

    Ndugu wana jamvi, YAH: UKIUKWAJI WA KANUNI NA SHERIA ZA KAMPENI KATIKA KURA ZA MAONI ZIFANYWAZO NA MGOMBEA MMOJA AITWAE JERRY SLAA MEYA WA MANISPAA YA ILALA ALIYE SABABISHA MANISPAA HIYO KUWA YA MWISHO KIMAENDELEO TANZANIA KWA UFISADI WAKE: Ndg. WAHUSIKA NA WANANCHI, husika na...
  3. RaisMtarajiwa

    Hatimaye jimbo la Ukonga lapata mrithi wa kweli baada ya kujitokeza Mr.Massoro Hussein

    Mm co muhusika mm no MTU ambae ninamkubali tu huyu kijana making an.
  4. RaisMtarajiwa

    Hatimaye jimbo la Ukonga lapata mrithi wa kweli baada ya kujitokeza Mr.Massoro Hussein

    Ndg. zangu wanaJF, Mr. Massoro Hussein Kivuga in chaguo la wananchi wa ukonga jijini Dar es Salaam. Anauzika anafaa anatosha mpaka chenji inabaki. Ukonga kama jumbo ambalo lipo wazi has a baada ya my. Mbunge wa jumbo hill kutangulia mbele ya haki Eugene Mwaiposa, sasa ni wakati wa kumuombea...
  5. RaisMtarajiwa

    GE2015 Ni vigumu sana kupata Rais mwenye sifa bora 2015

    Habari zenu wana jamvi:, mh. Mizengo kayanza peter pinda kazidisha utitiri wa watanzania wanaohitaji aiongoze tanzania. Suala hili limekuja baada ya mikoa ya kaskazini kusini na mashariki kukunwa zaidi na utendandaji wake uliotukuka na mzuri zaidi ya maelezo hasa pale alipotokomeza ugaidi...
  6. RaisMtarajiwa

    Waziri Mkuu, Mizengo Pinda achukua fomu kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Safari ya uhakika kuelekea ikulu. Mh. Kayanza peter pinda hakamatiki uchaguzi mkuu. Anafaa sana watanzania twamuhitaji. Mh. Pinda anasifa zifuatazo:, 1. Muadilifu 2. Anakubalika na watanzania 97% 3. Mzalendo 4. Mchapa kazi 5. Anayeguswa na homa za watanzania 6. Upinzani pia tunamkubali na...
  7. RaisMtarajiwa

    Kutoka ukumbi wa BoT Mwanza: Wassira atangaza nia kugombea Urais

    Habari zenu wanajamvi, Mh. steven masatu wasira ndiye habari ya mjini mbio za urais 2015 - 2020. Wengine naona kama wanaigiza tu kwani hawawezi kuitawala nchi ambayo wasiyoijua, ila kwakua ni democrasia basi hadi madereva wa bodaboda ,tax, na magari makubwa wanaweza kuchukua form. Steven...
  8. RaisMtarajiwa

    Stephen Wassira: Kada mkongwe wa CCM asiye na kashfa

    Habari zenu wanajamvi:-, kwa mara ingine tena baada ya kuwaumbua wezi wanaotafuna pesa za nchi na pesa za wakulima ambao ndio wengi nchini, mh. Steven masatu wassira amepambana vikali na tatizo la chakula na kutuhakikishia watanzania kwamba hatutakuwa na uhaba wa chakula tendo ambalo ni la...
  9. RaisMtarajiwa

    Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

    jerry anaishi maisha ya kawaida sana na anaongea na kila mtu na anaguswa na homa za watanzania na wana ukonga kwa ujumla
  10. RaisMtarajiwa

    Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

    sio mzugaji huyo ni kiongoz bora sana. katka kipindi chake cha uongozi kaifanyia tanzania na jimbo la ukonga mengi mazuri sn ndg.zangu
  11. RaisMtarajiwa

    Hatimaye Meya Jerry Silaa anunua gari la ndoto yake

    huyu ndiye kiongozi tunayemtaka tanzania. anafaa hata kuwa rais au spika wa bunge la jamhuri wa tanzania kuanzia oct.2015
  12. RaisMtarajiwa

    Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka muafrika wa kwanza Barani Afrika kuchaguliwa kwa mara ya kwanza na Baraza la Umoja wa Mataifa Duniani kwa kura na kuchaguliwa kwa kishindo, Pia kuiongoza moja ya Taasisi zake Duniani UN, CCM OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE. HAPO NI JINSI ALIVYOIBWAGA TUME YA...
  13. RaisMtarajiwa

    Kesi ya Tibaijuka na Sektarieti ya Maadili ya viongozi wa umma, Karimjee

    ndg. Wana jamvi, hatime wakili wa prof. Anna tibijuka amewasilisha vithibitisho na ushhidi dhahiri ulioonyesha kuwa fedha za msaada alioutoa mh. James rugemalila kwa hule ya babro johonulfia salama bila shaka yoyote. Hayo yametokea baada ya mawakili wa Serikali kukosa maneno yakonga na kubaki...
Back
Top Bottom