Recent content by Raika

  1. R

    Siasa zaingia kwa continuing students chuo kukuu cha dodoma (udom)

    Wanajukwaa ieleweke hivi sio wao ndio waliomchangia jk wale walikuwa wa mwaka 2010 na hao wanao umia sasa ni wale walioingia chuoni mwaka 2011 mwezi wa kumi. na ikumbukwe bado chaguzi Tanzania hazijaisha zinaendelea naamini watanyamaza na wanao chekelea sasa watalia sababu maisha ni kama mbio za...
  2. R

    Siasa zaingia kwa continuing students chuo kukuu cha dodoma (udom)

    Ikumbukwe wanafunzi wengi walio mwaka wa pili vyuoni walikosa mkopo kutoka bodi ya mikopo (HESLB) na bodi ikaagiza kwamba wakifika vyuoni waombe tena (appeal) kwa shilingi elfu tano na hakuna hata mmoja aliye pewa na wakati bodi ilijua kwamba haina pesa, wanafunzi hao wakafanya kuomba tena...
  3. R

    Nailani sana heslb

    jamani, tunajitahidi kwa kila namna kukamilisha vigezo wanavyo vitaka cha ajabu bado hatupewi, kiukweli maisha ni magumu sana kwa wa sisi wa udom sababu vitu bei juu na wazazi mifuko yao haijitoshelezi kiasi kamba mpaka natamani kurudi nyumbani. jamani kama kuna mtu anaeweza kusikia kilio chetu...
Back
Top Bottom