Tatizo la nchi zetu kwenye kesi za jinai wanashtaki kwanza na baadae ndio wanafanya upelelezi. Kuthibitisha kosa la mauaji ya kukusudia inahitaji ushahidi tofauti na ule wa kesi ya kuua bila ya kukusudia. Sasa kama hakuna ushahidi wa kuthibitisha murder ilikuwa ni bora kesi iachwe hivyo na...
Mimi sioni kama kuna ukiukwaji wa sheria uliofanywa na Mkurugenzi wa Mashtaka, mshtakiwa hufunguliwa shtaka kulingana na ushahidi uliopo, kama DPP hana ushahidi unaoweza kuthibitisha kwamba Lulu ameua kwa makusudi na aliua bila ya kukusudia kuna haja gani ya kuendelea kumshtaki Lulu kwa mauaji...
Siwasikii kulalamika pale mawaziri wenu wa tanganyika ambao wamo ndani ya serikali ya Tanzania kwa kivuli cha muungano wanapojipa mamlaka ya kuiwakilisha Zanzibar nje ya nchi na wakati mwengine hata ndani ya Tanzania kwenye mambo ambayo yapo nje ya Muungano. Kumbe inakera...Nafikiri mkiiiondoa...
Mungu ametubarikia
Unguja na Pemba yote
Sote tunashangiria
Jamhuri kutuletea
Mungu ametubarikia
Unguja na Pemba yote.
ni wimbo ambao upo na tumeimba nikiwa shule ya msingi nashangaa mnajua leo, isitoshe kama Muungano unajumuisha mambo maalum ambayo yametajwa kwenye katiba ya Tanzania sioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.