Recent content by Rahma2

  1. R

    JamiiForums Tanzania kwa anaeuza mtungi wa gas 10.g

    Nipo kimara, kwa anaeuza anipm
  2. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Kijiji walisahau kukata sehemu isiyo husika, nitapata mkopo HESLB?

    Utapata usijal, omba tu Mungu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wale wa tia msaada jamani

    shukrani ndugu yangu!
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wale wa tia msaada jamani

    Habari ndugu zangu! Kwa wale waliopangiwa TIA na wamepata mkopo chini ya 100 asilimia, registration ikoje? Msaada jamani.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Chuo cha Kodi (ITA)

    Kipo poa! Mazingira ni mazuri ya kusomea. Kakomae tu juhudi zako ndio zinazotakiwa.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Loan board

    haah! haah! haah! Daah,
  7. R

    JamiiForums Tanzania Unapotaka kusoma kozi angalia hali ya nyummbani kwenu

    utapata lukas! Hata mimi nilipata hivyo lakini sasa nimefika mbali. Nipm kama unaweza!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya selection za nacte hazijapelekwa vyuo husika.

    Ndugu kama unaaccount ya fb,like page yao halafu uwatumie msg yenye swali lako. Ndani ya muda mfupi watakujibu... Wako shapu sana.
  9. R

    JamiiForums Tanzania wale waTIA [dsm]

    Asante sana Allen, asante
  10. R

    JamiiForums Tanzania wale waTIA [dsm]

    jaman! Na wa NACTE je?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nit

    Jamani habari! n.i.t wametoa hadi wa NACTE?
  12. R

    JamiiForums Tanzania NACTE T.I.A selection zimetoka? Msaada tafadhali

    Asante sana!
  13. R

    JamiiForums Tanzania NACTE T.I.A selection zimetoka? Msaada tafadhali

    Ni kosa tu la uandishi, sorry kama limekukwaza kiasi cha kushindwa nisaidia jibu ndugu!
  14. R

    JamiiForums Tanzania NACTE T.I.A selection zimetoka? Msaada tafadhali

    Habari! Naomba kwa anayeelewa anijuze ndugu zangu kama majina ya wanafunzi waliochaguliwa na NACTE T.I.A yametoka! Msaada..
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dada Shilole kwa hili hapana..!

    mlimsikia jana kwenye kipindi cha ala za roho, alikuwa na snura? Anatafuta bifu za kutafuta kwa snura@ kwel majanga!
Back
Top Bottom