Hapo ni mawili kaka, kama vipi subiri uongeze mtaji kama mchangiaji alivyoshauri au kama vipi unaweza kuanzisha biashara ya mama ntilie kwasababu biashara ya chakula kaka inalipa sana. kila la kheri
Sio wa kutosha ila tunajarib kumuokoa na kilio cha mtu mzima kwasababu siku hizi mambo yamekuwa hayatabiriki, kila mtu anajaribu ku-play safe.Ujue ingekuwa enzi za wazee wetu wala ndugu yangu hapa asingekuwa na mashaka baada ya kuambiwa usubirie ili aje kuikata mwenyew lakini siku hizi kwa kuwa...
Pole na hongera sana kwa kumpata dem mtulivu na mwenye kujitunza, mi nadhan ni vizur ukiwa mvumilivu na mambo mazuri yako mbele yako. ila ukizidiwa sana we mwambie mpenz wako muangalie ni namna gani mnaweza kurudhishana ili kukizi mahitajio ya miili yenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.