Recent content by Raghmo

  1. Raghmo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kwanini aliye juu ndiye mpango wa nchi? Bado kuna pengo kubwa la ushiriki wa makundi mbalimbali katika mipango ya maendeleo katika jamii

    Utangulizi www.alarmy.com Katika maendeleo ya nchi yoyote, ushirikishwaji wa makundi mbalimbali katika jamii ni muhimu sana. Ushirikishwaji huu unasaidia kuhakikisha kuwa mipango ya maendeleo inazingatia mahitaji na matarajio ya watu wote, na hivyo kuleta maendeleo endelevu. Hata hivyo, mara...
  2. Raghmo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Kaka angu upo Dunia gani 😁
  3. Raghmo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Sio rahisi kuanzisha NGOs kaka angu, nimevolunteer sana na nimeona sio rahisi
  4. Raghmo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Ke
  5. Raghmo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Nina maana hii, waste management, hii hufanywa na watu wa manispaa, uhifadhi wa taka Kwa kuzifanyia recycling
  6. Raghmo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Shukran
  7. Raghmo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Shukran, naomba website zao hao wanaotoa hizo course tafadhali
  8. Raghmo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Umeona ee! Ata Mimi nakubaliana na ww, hii course ni ngumu sana kupata ajira haswa haswa ukitumia mfumo wa kuombea kazi
  9. Raghmo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Naweza shuhuli kama: Uhifadhi wa mazingira, data collection and research, uhifadhi wa taka (manispaa) na zinazoendana na masuala ya kimazingira
  10. Raghmo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Nipo Mombasa Mawasiliano: raghmo17@gmail.com
  11. Raghmo

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata kazi nimesomea mazingira

    Habari, Mimi ni kijana Nina miaka 24, Nina degree ya Sanaa ya geografia na mazingira, nipo Zanzibar. Mwenye connection ya ajira ya kada hio tafadhali.
Back
Top Bottom