Recent content by ragallah2

  1. R

    MTWARA: Kiwanda cha Dangote chasitisha uzalishaji wa saruji kutokana na gharama kuwa juu

    Mimi siyoMchaga. Jifariji tu, itakusaidia kulala usiku.
  2. R

    MTWARA: Kiwanda cha Dangote chasitisha uzalishaji wa saruji kutokana na gharama kuwa juu

    Kama serikali inachanganyikiwa kirahisi hivi wanahitaji kujiuzulu. Kupigia kelele misamaha ya kodi haimaanishi kuweka kodi za kukurupuka. Hutaki watu wasilipe kodi at the same time usikatishe tamaa wawekezaji. Kama kuna kitu unataka kulaumu, laumu uibaji wa kura na ukandamizaji wa demokrasia...
  3. R

    MTWARA: Kiwanda cha Dangote chasitisha uzalishaji wa saruji kutokana na gharama kuwa juu

    Kwa hiyo Dangote hataki kulanguliwa makaa ya mawe na hii imesababishwa na Ukawa. Kwa hii feeble logic tutaendelea kweli?
  4. R

    Maswali 2 Ya Ugomvi: Kuhusu Michango ya Kagera kwa Atakayethubutu Kujibu

    Investigative journalism, my foot! By whom? Budget ya maafa ndio kitu gani? Usitazame kila kitu kupitia miwani ya serikali ya CCM. Budget ya FEMA $13 billion. Unafikiri kama kukiwa na disaster zaidi ya hizo hela serikali ya Marekani kama ya CCM itabidi iombe msaada kutoka kwa wafadhili...
  5. R

    Maswali 2 Ya Ugomvi: Kuhusu Michango ya Kagera kwa Atakayethubutu Kujibu

    Ungekuwa unaelewa ulichokuwa unasema shuleni ungeona kuwa hamna hata sehemu moja inasema kuwa United States imeomba msaada. EU imesema kuwa US imeomba msaada? Kwa nini wasiseme wenyewe? Kama una elimu kidogo unajua hiyo ni "hearsay". Huwezi ukatoa ushahidi kuwa "fulani alisema kuwa fulani...
  6. R

    Maswali 2 Ya Ugomvi: Kuhusu Michango ya Kagera kwa Atakayethubutu Kujibu

    Kiingereza unaelewa wewe? Ku receive aid offers siyo kuomba msaada. Someone offers you aid, it is up to you to take it or not. Rudi shule
  7. R

    Maswali 2 Ya Ugomvi: Kuhusu Michango ya Kagera kwa Atakayethubutu Kujibu

    Ndio wanavyodai Wikipedia, ambayo mtu yoyote anaweza kujiandikia chochote. Moja za hiyo links za Wikipedia zinaeleza kuwa response ya US govt kwa hiyo misaada, sijaona popote walipoomba misaada. Most Katrina Aid From Overseas Went Unclaimed Shida ya maCCM ni kujifanya mnajua. Kila kitu hata...
  8. R

    Maswali 2 Ya Ugomvi: Kuhusu Michango ya Kagera kwa Atakayethubutu Kujibu

    Serikali ya US ilisaidiwa? Acha uongo, bhana! Unlike Tanzania, serikali ya Marekani haizuii taasisi au watu binafsi kusaidia kwenye majanga, lakini serikali yenyewe ina shirika lake, Federal Emergency Management Agency, (FEMA). Kama hizo nchi ziliamua zenyewe kupeleka misaada kwa walengwa...
  9. R

    Maswali 2 Ya Ugomvi: Kuhusu Michango ya Kagera kwa Atakayethubutu Kujibu

    Nani anaipa serikali ya US misaada? Unajua unachoandika au ili mradi tu?
  10. R

    Maswali 2 Ya Ugomvi: Kuhusu Michango ya Kagera kwa Atakayethubutu Kujibu

    Kwa nchi za wenzetu, ukikusanya hela kwa madhumuni fulani halafu ukaitumia kwa madhumuni mengine ni wizi, (fraud). Ujanja wa kuiba kura ni kitu kimoja, kutawala ni kingine.
  11. R

    Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli

    Naweza kuelewa individual constituencies lakini Tanzania ni kwamba akianza Rais wa CCM lazima ashinde kwa kishindo muhula wa pili, come hell or high water. Ni kwamba Tume isiyo huru ya Uchaguzi inachagua kiwango cha kishindo. Generally, although local culture and history are highly overrated...
  12. R

    Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli

    Point taken. Kwa hiyo unadhamiria kusema kuwa Tanzania ukichaguliwa muhula mmoja is as good as kuchaguliwa mihula yote miwili. Kwa nini base wanapoteza muda na gharama kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano? Rule of law is not selective, the application of the rule of law can be.
  13. R

    Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli

    Sikujua kuwa "alichaguliwa" kwa miaka kumi. Na madudu aliyofanya wakati akiwa waziri ndiyo vipi? You mean rectroactive? Shida ni Tanzania kujidanganya kuwa tunafuata utawala wa sheria. Rule of law is not selective, you prosecute some crimes but overlook the others
  14. R

    Wito Kwa wana JamiiForums kuhusu ukosoaji wa Rais Magufuli

    Kwa hiyo yeye mwenyewe ni jipu kubwa tu?
Back
Top Bottom