Recent content by Rafael

  1. R

    Mawaziri waghushi vyeti

    Haya ndiyo mapungufu ya mfumo wetu wa elimu na utawala. Kuwa na cheti cha shahada katika fani fulani haina maana ni kuwa mtendaji mzuri katika fani husika. Maana mtu anaweza kupata cheti kwa njia nyingi sizizo za kihalali. Lakini pia cheti hakitoi fursa ya kujua mwenendo na tabia ya muhusika...
Back
Top Bottom