Recent content by rafael msangi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake hupenda wanaume wapole kwa sababu hii

    mi sizani kwamba wanaume wapole wanawapa uhuru wake zao kiivyo. kuna wanaume wakali lakini wake zao wako huru kama hawajaolewa. ukikutana naye utajiuliza mara mbilimbili ameolewa kweli huyu. isitoshe kuna upole wa aina mbili kuna mpole ila mkorofi kama nin na kuna yule mpole na mtulivu.
Back
Top Bottom