Issue sio kwenda VETA anahitaji kazi ajikwamue kiuchumi anakaa kwa rafiki yangu wa kike nae ni mwanachuo ni kwamba ukimlipia Ada kula je yeye hapa anahitaji kazi ili maisha yake yaende mbele
Habari kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi ameishia form4 hajafanikiwa kuendelea na wazazi wake wamefariki mda kidogo.
Amekuja Dar amefikia kwa rafiki yangu mwingine wa kike kwa maana mimi ni mwanaume nilimdirect kwa rafiki yangu wa kike. Tatizo linaanzia huyo rafiki yangu wa kike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.