Mi mwaka 2006 niligombana na kaka yangu kisa vitabu 2 "Njama" na kingine "kufa na kupona" kisa alimhonga msichana wake!!!nililia sana mana nilikuwa navisoma mara mbili mbili nilikuwa naviita vitabu vya Willy Gamba 2liachiwa na baba ye2 dats was his legacy 2 me!!!jaman iv vitabu ni vizuri...
Ckia kijana kwanza inabid ujijue ww kama ww unataka uwe nani sawa!horticulture wanajihusisha na kilimo cha mboga mboga na matunda then maua pia Agric.general anagusa koz karibu zote za apa sua!!Agronomy anatofautiana na hao wote kwani yeye anashare koz na nying sana na hort ila Agronomist ndie...
Twende ze2 ze dudu achana na hao waliokuwa wanatoa maneno ya mikeka!!!BVM yaukweli chalii sema 2 msuli!ila mi naamin unaeza!mi niko AGRONOMY 2na Prof. Mrema anakwambia alimsikia Nyerere akisema "It can be done,just play your part" lets play our parts bro n lets do this!!!Akili bado inachemka na...
wee Obwato nawee sepa huna jipya!!!nani kakwambia anatafuta mademu apa SUA!!!!madem wenyewe apa sua wamechukua sura za baba zao!!!kwa mademu wapi hasa SEPA ZAKO UKO HATISHWI M2 APA!!!
co lazma mpaka chuo mi nimeongea na jamaaa angu ni m1 kati ya mawazir pale chuo anasema unaeza lipa kwa kupitia ac ya acomodation ambayo wametoa kwenye join instruction ili kuepuka usumbufu then unaenda na payin slip mpango mzima ndo unakuwa ivo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.