Ila ccm ipo taabani sna fikiria taasisi za umma zinavyoikingia kifua jaribu kuwaza siku polisi,mahakama na tume huru ya uchagazi vikae mbali hata kura 100 hawatoboi kwenye masanduku kila wataposhiriki chadema ina vikwazo vingi lakin bado ccm haipumui.
Anawezaje kwenda kinyume na bosi wake? Yaani yy akahangaike na ufisadi ikiwa toka 2021 had sasa ripot za CAG zipo kabatini zinasomwa kama gazeti la sani.
Ccm wameharibu katiba ya nchi mahakama,bunge,polisi wetu wazur na uhamiaji sasa wamehamia kwenye kuharibu katiba yao ukishazoea kula nyama ya mtu kamwe huwezi kuacha by mwalimu Nyerere.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.