Recent content by Rad020

  1. R

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Wapi napata anayeweza kuniunganisha kile cha 60k unlimited voda kwenye line?
  2. R

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Shida yao ni kufikishia wateja huduma, kuna watu tumeomba toka 2021 na tuko mjini kabisa mbezi na nyaya zao zimepita kabisa hapa, ila ukiuliza ni visingizio tu visivyoisha
  3. R

    Nichukue Mifi ipi kati ya halotel, tigo, airtel na voda?

    mfano mimi nina laini ya yas na huwa nalipia postpaid kama nataka kubadili nisilipie postpaid niwe nalipia unlimited then nikanunua mifi yao nitumie humo kwa wazoefu je hicho kitu kinawezekana kweli?
  4. R

    Nichukue Mifi ipi kati ya halotel, tigo, airtel na voda?

    Kuhusu line za unlimited nafahamu hata yas wanazo, ila nahitaji pamoja na device yake ila iwe mifi sio zile router kubwa
  5. R

    Nichukue Mifi ipi kati ya halotel, tigo, airtel na voda?

    Naomben msaada hapa wakuu, ninatamani kununua router ambayo portable inaweza kaa hata mfukoni kwa matumizi ambayo ni makubwa kiasi, ni mtandao upi kati ya tigo, halotel, airtel na voda wana mifi ambayo ni reliable nzuri na haisumbui hata kama uko nje ya mji mana naona hiyo ndo only...
  6. R

    Msaada, natafuta mic original za shure hapa dar

    Sure, mic og bongo zipo kabisa, na nilizikuta katika maduka matatu, city music sound kariakoo, topshop sound uhuru, kvd wanakuwaga nazo sema out of stock. na bei pia zimesimama, blx24 pg58 single 1.8m, double 2.4m, blx sm58 double 3.5m.. wengi hawaziuzi sababu wateja ni wachache na stock inaweza...
  7. R

    Nahitaji mwekezaji wa kuwekeza milioni 50 katika Hotspot Business, mtaji utarudi ndani ya miezi 6

    Uzi mzuri na mawazo zuri yako hapa, ila sijaona mleta mada au yoyote akiliongelea suala la kodi na malipo ya serikali mana hii ni biashara, navojua TCRA wanatoa kibali cha kufanya hii biashara, je mleta mada anacho hichi kibali? Je unazifaham fees za tcra unazotakiwa kulipa kila mwaka kama...
  8. R

    Msaada, natafuta professional microphones za shure original hapa dar

    Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu wa hizi mic ni frequency zipi ni nzuri kwa bongo mana kuna h9(512-542Mhz) h10(542-572Mhz)...
  9. R

    Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

    Kwenye eneo la makato na charges ni wapi pana unafuu kidogo, mana nilishajaribu kununua vitu US kwa card ya simu, nikakatwa 10% na charges zingine sijui fx markup fees na mfano amazon wenyewe nao wana charge fedha kama unanunua bidhaa kwa currency nyingine isiyo dola, sijafaham unafuu uko wap...
  10. R

    Ni njia ipi bora ya kufanya malipo ya kununua bidhaa online? debit au prepaid card?

    Habari zenu wakuu na heri ya mwaka mpya 2026.. ninaomba kupata elimu kidogo kuhusu suala la kulipia vitu mitandaoni, nataman kujua ni njia ipi salama zaidi nitumie kati ya debit card ya benki, prepaid card au card hizi wanatoa mitandao ya simu.. na pia kuhusu prepaid za usd nimeona ni benki...
  11. R

    Msaada, natafuta mic original za shure hapa dar

    kariakoo ni ngumu kweli kupata labda posta na kuna duka lingine liko mikochen wanakuwaga nazo
  12. R

    Msaada, natafuta mic original za shure hapa dar

    Ok napafahamu, nitapita hapo monday thanks
Back
Top Bottom