Recent content by Rabubu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nimeambukizwa Gonjwa baya na Mpenzi wangu! Msaada na ushauri wa Haraka

    Dr.URIO, kwa dalili hzo ni dhahiri kabsa kuwa amekuambukiza ugonjwa unaoitwa, Uring track infection (Uti) wahi mapema kituo cha afya unatibka na kupona ndani ya siku tano.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Video Camera inauzwa.

    Me nahitaji weka bei ,
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ttwb hakuna aliyeajiliwa?

    Worry out kaka, tutakupa feedback.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uwalimu kwa mkataba

    Mim ni mwalimu mhitimu wa shahada kutoka chuo kikuu cha Dar es salaamu , katika masomo ya English language and history.na uzoefu wa miaka miwili kufundisha Literature in English,English language and history, kidato cha kwanza had cha sita.Mshahara kuanzia laki 7 na makazi,npo tayari sehemu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ttwb hakuna aliyeajiliwa?

    Mim walntmia barua ya kaz tar30august , wakasema wataniita kwenda training tar 15 septer na kaz itaanza oct moja, hd leo nothing na hata hawapatkani tena hewan.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa nursery

    Oke mi ni mwalimu ,mhitimu wa chuo kikuu. Kama utakubal me niko tayari kuja mara tatu kwa wiki .mengine tutaongea zaid kama utakubali nijibu!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa nursery

    Oke mi ni mwalimu ,mhitimu wa chuo kikuu. Kama utakubal me niko tayari kuja mara tatu kwa wiki .mengine tutaongea zaid kama utakubal
  8. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba hapa Jf chit chat

    Kaka muombe mungu akupe mchumba mwema na sio kama unavyojiamulia wewe.
Back
Top Bottom