• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by Raaj

 1. Raaj

  Tumia njia hizi kupata network unlock code by imei number

  Mkuu nina kitochi 4G ya vodacom inahitaji NCK code ili ku unlock iweze kusoma mitandao yote naomba msaada wako Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Raaj

  Naomba msaada wa 'kufungua' unlock Kitochi 4G ya Vodacom kitumie mitandao yote

  zipo, tufanye kazi Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Raaj

  Naomba msaada wa 'kufungua' unlock Kitochi 4G ya Vodacom kitumie mitandao yote

  Model yake ni VIDA_K242 Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Raaj

  Naomba msaada wa 'kufungua' unlock Kitochi 4G ya Vodacom kitumie mitandao yote

  Mkuu laini namba 1 ndio inatumia voda na namba 2 ni mitandao yote, kwenye suala la internet line namba 1 ndio inafanya kazi kwa kiwango kikubwa Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Raaj

  Naomba msaada wa 'kufungua' unlock Kitochi 4G ya Vodacom kitumie mitandao yote

  Habari ndugu zangu wana Jf, Nimenunua Kitochi 4G ya Vodacom sasa ninahitaji huduma ya ku unlock hiki kitochi ili line namba 1 ikubari mitandao yote Asante Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Raaj

  Nahitaji huduma ya ku Unlock kitochi 4G

  ndio kina 4G Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Raaj

  Nahitaji huduma ya ku Unlock kitochi 4G

  kwanini mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Raaj

  Nahitaji huduma ya ku Unlock kitochi 4G

  Habari ndugu zangu wana jf, nahitaji huduma ya ku unlock kitochi 4G ya vodacom ili laini namba 1 iwe inasoma mitandao yote Asante Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Raaj

  HUDUMA: Unlocking Phone by IMEI Number

  mkuu kitochi 4G ya voda nahitaji ku unlock ili line 1 itumie mitandao yote inawezekana? Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Raaj

  Kisa cha Sindbad baharia na safari saba

  uko kimya kama The bold na stori zake ambazo haziishi
 11. Raaj

  Ujasusi Sebuleni Kwetu

  stori nzuri The bold sema itaishia hewani tu kama The richest man in africa
 12. Raaj

  Tour fupi ya shamba langu la greenhouse

  vipi kuhusu changamoto zake?
 13. Raaj

  Utapeli, conspiracy & secret societies: Uhalisia wa umiliki wa kesho ya Ulimwengu

  huyu jamaa sijui nilimkosea nini hajawahi ni tag
 14. Raaj

  Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

  mimi nipo kigoma najiunga group lipi? TMT team kigona lini?!
 15. Raaj

  Madaktari wa Serikali wanaojiongezea kipato kwenye Hospitali binafsi kukiona...

  USalama wa taifa ndio wanazuia ugonjwa?
Top