Unaleta uchama stupidly, unadhani kila mwenye mitazamo tofauti au anayetetea haki ana uhusiano na chama cha kisiasa?
Watu waliamua kuvaa T-shirts za Lissu kwa choice yao hivyo hakuna anayepaswa kuwalazimisha kwa kuwa wameamua kuvaa T-shirts hizo basi lazima wavae na za wengine, uhuru wa...
Ficha ujinga wako, niko na akili timamu tangu enzi za Mchonga na hakuna kipindi ambacho nchi imeendeshwa kinyama na kuminywa uhuru wa habari kama awamu ya Muhutu.
Awamu za awali ni kwamba tu hakukuwa na technology za sasa ila kwenye upande wa brutality Muhutu alikithiri.
Ujinga mwingine kama ni wa kurithi au otherwise it's hard to tell, kwani walitekwa na kuuawa nchi nzima? Hao hao waliotekwa na kuuawa inatosha kupigia kelele udhalimu wa lile shenzi la Kihutu pamoja na washirika wake.
Huu ndiyo uzuri wa mijadala kwani hata hayo ya akina Dr Ulimboka na Mwangosi yanapaswa kujadiliwa pia ila uelewe hayo ya Kikwete hayasafishi udhalimu wa Magu na crew yake.
Wakati unaandika hili bandiko lako kichwa chako kilikuwa kinawaza kitu gani kuhusiana na victims wa udhalimu uliofanyika katika awamu ya tano?
Hivi Ben Saanane yuko wapi au at least kelele kuhusu serikali kuhisiwa ina mkono wake kuhusiana na kupotea kwake hivi nini kilizuia polisi kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.