Recent content by quincy_alfred

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

    Ok thanks ngoja nikazifatilie
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

    Hata kupitia card ya multicurrency?? Kwahio kama nataka kufanya transfer mfano kutoka kwenye platform flani nitatumia nini Tanzania hii 😂
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

    Nimesikia unaweza kufanya transfer kupitia benki kama una card ambayo ni multicurrency .so, Nilitaka nifahamu makato yake yako vipi
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Makato ya PayPal Tanzania yakoje?

    Habarini!. Anayefahamu makato ya kuhamisha pesa kutoka paypal kwenda benk iliopo Tanzania anifahamishe please,
  5. Q

    JamiiForums Tanzania M-Pesa Open API

    Unatumia kuintegrate bure au wana malipo yao inabidi kununua???!
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kuhusu API za tigo pesa na Mpesa

    Application programming interface. Masuala ya IT 😂
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kuhusu API za tigo pesa na Mpesa

    Habarini ndugu zangu! Kwa anayefahamu kuhusu hizi API za tigopesa , Mpesa , Je? Huwa ni za kulipia?na kama ni kulipia ni Tsh ngapi?
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbadala wa kuweza kujipatia mtaji pindi tu unapomaliza chuo

    Wazo zuri ni kweli, kutafuta wazo inahitaji uchunguzi zaidi ndipo unapoweza kuamua ipi ni nzuri, ubunifu wa hali ya juu unajitajika kujichanganya mtaani pamoja na kupata mawazo kutoka wafanyabiashara wengine inaweza kusaidia kupata wazo zuri
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbadala wa kuweza kujipatia mtaji pindi tu unapomaliza chuo

    Ni kweli lakini nimegusia kwa wanachuo ambao wengi wao hawawezi kukosa hicho kidogo kwa mwezi , na kwa kuwekeza ndio ambavyo unaweza kujipungnzia lawama pindi umalizapo chuo
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbadala wa kuweza kujipatia mtaji pindi tu unapomaliza chuo

    Habarini wanajukwaa! Natumaini kila mmoja wetu ni mzima wa afya, kwa wenye changamoto za kimaisha Mungu akawafanyie wepesi! Hii ni barua ya wazi kwa walioko vyuoni, wanaotegemea kuanza vyuo, wazazi, walezi, ndugu, jamaa na yeyote awaye yule mwenye kijana aliyeko chuo. Kijana mwenzangu hali...
Back
Top Bottom