Recent content by Quince de Junio

  1. Quince de Junio

    Wimbo kuhusu sensa

    Habari za jioni wakuu na poleni kwa majukumu ya kazi. Napenda kuwakaribisha kusikiliza wimbo wangu wa kwanza kuandika mwenyewe unaohusu Sensa, pongezi kwa serikali ya awamu ya sita pamoja na sifa kwa Nchi ya Tanzania kwa ujumla. Karibuni pia kule Youtube kwa ajili ya kuniinua kijana wenu kwa...
  2. Quince de Junio

    Utambulisho wa mimi member mpya

    Habarini za humu jukwaani ndugu zangu. Mimi ni member mpya humu ila nimekuwa msomaji wa muda mrefu kidogo humu jukwaani. Hope mtanikaribisha kwa bashasha tele ndugu zangu wenyeji wa humu. Pamoja na hayo naomba niwajuze kuwa mimi ni msanii wa kizazi kipya ninayechipukia hivyo siku chache...
Back
Top Bottom