Moderator please naomba nisaidie kufuta all of my posts ,kuna watu nafahamiana nao waliisoma huku ,Delete this thread please !Sihitaji kuiona hii thread kuna watu wanacomment na chuki zao hawafurahi watu kupendana😅!Please delete this
Moderator please naomba nisaidie kufuta all of my posts ,kuna watu nafahamiana nao waliisoma huku ,Delete this thread please !Sihitaji kuiona hii thread kuna watu wanacomment na chuki zao hawafurahi watu kupendana😅!Please delete this
Sitajibu tena huku nashukuru kwa waliotoa positive comments hizo ndo nmechukua ,wenye chuki niwakumbushe kwamba i cannot care their comments hata sjamaliza kuzisoma na wala wao sio mungu bali wafocus na kutafuta hela ili wasikasirikie maisha ya watu maaana we dont give a damn ,and we dont care...
unaweza kuishi na mtu miaka 20 na akakupiga matukio ,sijaomba ushauri wako hapa kwan nimekuomba?wewe wako yupo wap?kila mtu anaoa baada yakukaaa na mtu miaka ishirini? usilinganishe stori yako na yangu
sio kwamba upo arusha ,sema upo arusha na umelala kama fala hauna hela ya kula 🤣🤣🤣🤣unasubria bwana akukulee , mjinga kwel wanakukula mpuuzi ,ninauwakika watu kama nyie ni jobless na kichwani vinyovinyo zmejaa nakupuuza
usiongeleee historia za watu ambazo huzifahamu , wewe huna hela yakumpa wacha wenye hela tumgaie , usinipangie na hela yangu mimi sio mbinafsi napata hela nyingi kwahyo nilazima nimpe . Tafuta zako kufa nazo , nyie ndo mnagongewaga kwa sababu yakujikuta wagumu , yani kama unaona pesa ya digit...
wewe ndo zezeta na mimi siitwi junior , mimi nimetokea kaskazini mzeee siwez kuwa boya kama unavyozania , kama kumjali mtu ni uzezeta basi wewe ndo zezeta number 1.
sasa uzoefu wako sio wangu ilo lifahamu , yani haimaanishi kama wewe uliteswa na mimi ntateswa au aimaanishi kama wewe ulikutana na mwanamke aliyekuzingua basi na mm ni lazima yanikute noppp , we have different paths , huwez kusema heti kwa sababu mke wa jirani yani kacheat basi urudi nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.