Recent content by QuentinTZ

  1. Q

    JamiiForums Tanzania TCRA yaweka namba ya kucheki simu fake! Kuanzia tarehe 17 June simu zote fake kufungiwa

    Namna ya kujua ni fake ni kwa mfano ujumbe unaporudi wewe simu yako nje inasema model no samsung lakini inakuletea ujumbe wenye model inasema siemens ama simu isiyotambulika japo ndo ujue imekula kwako. Ila kama model ya simu ndio inakuja kwenye ujumbe we endelea kupeta tu ni orijino.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na utapeli unaofanywa na Zoom-Tanzania kupitia Ibrahim

    Kuna jamaa mmoja mKenya anajidai anasaidia kupata scholarship za nje na anafanya na organization inajulikana na anaonekana kuwa tapeli kama huyu nataka nikatoe ripoti kabla hajalizwa mtu mwingine. Mwenye ushauri naomba ili niweze kumtumbua mara moja.
  3. Q

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Donald Trump: I Will Lock Mugabe, Museveni in Prison

    Trump ni punga la kupitiliza, kwanza ni mbaguzi sasa masuala ya nchi za Africa yanamhusu nini? Siku marekani ikijidai kwenda kuvuruga nchi hizo mbili ajie Africa nzima itamvamia, wazungu wameshatuchefua kila kona ya nchi zetu wanakaa kuangalia movie tu. Shetani mkubwa na ashindwe.
Back
Top Bottom