Ndugu zangu nawasihi tu kama dada yenu mjaribu kufatilia habari na kupata taswira ya kwel nilikuwa mfanyakazi bank ya Equity Tz position nzuri tu nikajifunza sana, wanasafisha hela zinatoka nje na wanasafisha kwa kuwakata wateja kwa mikopo ya ajabu na Kuzipeleka nje ya nchi bila kufata...
Equity bank na Isabella Tanzania ndo wamechachama hata kuliko huko Uganda , BOT wasipofatilia uwizi wanaoufanya na kuhujumu wafanyabiashara basi baisahara nying zitaharibiwa, huu ni wizi tu wanatumia nguvu zote za fedha na kucheza na mikataba na mahesabu mfanyabiashara afeli, BOT chini ya Mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.