Ikiwa ni siku moja tangu kuripotiwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari pamoja na mitandao ya kijamii kuhusu kufanyiwa Upasuaji mkubwa Waziri Mkuu aliyestaafu na Mbunge wa Monduli Mhe Edward Ngoyai Lowassa, mwandishi wa habari wa gazeti hili aliamua kuchunguza na kufanya mawasiliano na familia...
Heshima kwenu wakuu.
Nikiwa natokea Dar es salaam kuelekea Dodoma jana mchana, tayari kwa kufuatilia mjadala wa bunge juuya Ripoti ya CAG kuhusu account ya ESCROW inayotarajiwa kusomwa siku ya jumatano, kuna taarifa nilizipata kutoka kwa moja ya washauri wakubwa wa Edward Lowassa ambaye...
Kesha ukiomba lakini amini amini nakuambia kabla ya bunge hili kuisha ukweli utajulikana na mtaacha kumzungumzia waziri mkuu Mizengo Pinda, kwani ni dhahiri kuwa hakuna mahala anapohusika na kashfa hiyo ya ESCROW
Kwenda zako kenge wewe wenye akili mbona wanachangia. UKAWA wameshaanza kuvurugana, kwa taarifa yako NCCR, na CUF wameshagundua kuwa CHADEMA wanawahujumu ili kujinufaisha wao binafsi.
Wee kaka utakua hujitambui bado, nakutahadharisha kabisa siku Pinda anaapishwa kuwa Rais wa JMT, Ukitembea uchi kuja kivukoni lazima uliwe TIG:A S soccer: na tangu leo nakuhakikishia wewe na hao wasaka tonge wenzio hicho kibabu chako wilbroad Slaa hatokuja kuwa Rais
Wakuu heshima kwenu, bila shaka mko poa
Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya Ufisadi Edward Lowassa na wafuasi wake waendelea na harakati za kutaka kulazimisha kuupata Urais wa JMT kwa kutumia mbinu chafu za kisiasa.
Hivi karibuni Peter Serukamba, Makongoro Mahanga na Sadifa walikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.