Black opium tatzo nilinunua ya kupima, lakini naona kama nayo inawahi kuisha kwenye nguo.
Ila for me, black opium n best kwa harufu yake ya kutulia. Haina kelele wala hata ukiipuliza haiumizi pua
Hii Aventos napulza kufikia sa tano harufi ishaisha bhna.
Yaan inazidiwa hata na spray yangu ya "Let's imagine"
Saint Anne em nijuze perfume iliyotulia kama black opium ambayo inatulia the whole day kwenye nguo ili nikiuungishe bhana
Wanyama hawa apa[emoji123][emoji123][emoji123]
Anventos kumbe kwenye box ipo na kaspray kadogo na watu hamsemi
All in all, watu wa mbeya mjini kuna mjamaa apo soweto ana perfume zote zinazotajwaga humu na bei yake n rafiki
Aisee hii bidhaa ya dove nmeinyooshea mikono.
Mwanzo nilinunua sabuni nadha ilkua fake ile make ilianza kuharibu ngozi yangu, lkn nikapata chimbo jingne nikanunua Dove nyingne elf5 (hii n tofaut kabsa naya mwanzo make kwa box ufunguaji wake unaikuta sealed, namba za mfg na exp ziko ingraved kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.