Ukitaka kuongeza mapato ya kodi kutokana na petroli, usiongeze kodi ya petroli...punguza kodi ya kununua magari !
Hivyo divyo watu wenye akili wanafanya. Boeing anauza ndege nyingi kwa hasara (au at cost price), kwa sababu anajua utanunua spea kwake na utafanya service kwake na utakarabati hio...
Nilisafiri kwenda Singida recently, Morogoro, Dodoma & Singida all have 3.75G as well..kuna kazi ya kweli imefanyika hapa. Ni muhimu kutoa "credit where credit is due".
Mimi ninayo, Hiyo FREE INTERNET ni Sh3,000 kwa mwezi na Kila usiku ni bure pia.
Lakini ile ya free internet ya usiku ni kwa wateja wote! Sio lazima unue modem, hata kwenye simu, au modem ya zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.