Recent content by qnizxy

  1. Q

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Kwahiyo huwezi pata mzigo mpaka ufungue box posta???
  2. Q

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Msaada jinsi ya kujaza adress aliexpress Cna box namba ya posta..nataka nipokele mzigo katika posta ya hai kilimanjaro
  3. Q

    Njia gani za kupata GPA kubwa chuo?

    Kama topic inavyojieleza,kwa waliopo vyuoni na ambao wamemaliza tutoe mchango wetu juu wa njia zipi za kufata au kufanya ili kupata GPA kubwa chuoni.
  4. Q

    Ubora na changamoto za UDOM -Chuo Kikuu cha Dodoma

    Uzi huu ni maalumu kuelezea ubora na changamoto za Chuo kikuu cha Dodoma. Kwa maswali haya machache nahisi tutaibua hoja nyingi za msingi na sio mabishano ya chuo kipi bora. -Yapi mafanikio ya Chuo kikuu cha Dodoma? -Zipi changamoto za chuo kikuu cha Dodoma? -Je, products za Udom zinafanya...
Back
Top Bottom