Recent content by QMaeda

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    Unamaanisha kuwa endapo mtu hakuweza kuona kosa lililofanyika Jana basi hana credit za kuona au kuzungumzia kosa linalofanyika leo?? Kwa msingi huo unataka kumaanisha kuwa nyani ni wale wale ila misitu ndiyo tofauti? Hivyo kwako wewe yale uliyosimulia ya watu kuokotwa kwenye viroba...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara ya madini ya viwandani

    Hiyo naiona kama graphite kweli na ina trace za mica ( ulanga). je, ni ya wapi? na mlishapima ubora wake?
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara ya madini ya viwandani

    OK, ahsante Mzee Mukaruka, nitawacheki
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara ya madini ya viwandani

    Yes, na-deal nayo
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara ya madini ya viwandani

    Madini ya viwandani ni kama vile Chokaa, Gypsum minerals, iron ore, nickel, bauxite nk. Hizi ni malighafi za kutengeneza bidhaa zingine viwandani
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara ya madini ya viwandani

    Industrial Mineral ni biashara ya uhakika, haina risk kubwa, na ni biashara endelevu. Mbali na soko la ndani, lipo pia soko la nje. Karibuni wadau na ukifanikiwa kuni-connect na mtu sahihi unapata commission kwa investment atakayoweka huyo mtu.
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara ya madini ya viwandani

    Natafuta Partner wa kushirikiana naye katika biashara ya Madini ya viwandani (Industrial Minerals) Nina kampuni na ninafanya kazi ila order ni kubwa hivyo nahitaji mtaji wa nyongeza. Opportunity ni wazi kwa yeyote, au kama utaweza kuni-link na taasisi zinazoweza ku-finance biashara mpya...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

    kipilipili, hongera sana, makala yako ni nzuri sana, ila hebu zungumza kidogo na opportunities za ku-export. website zipi mtu anaweza kutembelea akapata taarifa hizo?
Back
Top Bottom