Ndugu msaada wenu tafadhari natamani sana kununua ubuyu kwa babu issa zanzibar lakini mawasiliano nao nilipoteza baada ya kukabwa na kuibiwa simu,mwenye kuwafahamu watoto wa babu iisa au mawasiliano yao anisaidie tafadhari.
Asanteni sana
Deeteyamo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.