Recent content by QDS

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Je, ni lipi suluhisho la mwanaume kufika kileleni mapema?

    Naomba kujua toka kwenu wana Jf, Je, nini hasa tatizo la mwanamme kufika kileleni mapema? Je, kuna uwezekano wa tatizo hilo kutatuliwa? Kama zipo njia naomba kujua njia hizo za kuzuia tatizo hili
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Mh.Mbowe Hayupo Hai Tena

    :glasses-nerdy: nimeipenda
  3. Q

    JamiiForums Tanzania mama na mwana

    Mama:ingiza haraka Mtoto:wapi? Mama:kwani huoni shimo? We mwanaume bwana Mtoto:nashindwa mama Mama:jitahidi nakutegemea Mtoto:kumbe ni kazi hivi? Mama:malizia kabla babayako hajaja Mtoto:kwani akija itakuwaje Mama:fanya haraka ingiza uzi kwenye sindano, tumalize kushona...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania ......tamu lakini inauma

    Jamaa alikuwa anapiga story na baba yake, Mtoto:baba me nataka kuoa Baba:vizuri mwanangu,vipi umeshapata mchumba? Mtoto:ndio Baba:unataka kumuoa nani? Mtoto:nataka kumuoa bibi Baba:ha! Yani umuoe mama yangu? Mtoto:ndio baba mbona we umemuoa mama yangu Duuu kusikia hivyo...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Sababu tatu why nimekupotezea

    umesomeka duu! punguza jazba.
Back
Top Bottom