Recent content by Qchicksolution

  1. Qchicksolution

    Mbinu: Kuku kudonoana na kula mayai

    Huko kwenye DCP nilipitia mkuu lakini haikufaa kitu,by the way contents ya calcium kwenye DCP bado sio nyingi kama iliyopo kwenye chokaa.
  2. Qchicksolution

    Mbinu: Kuku kudonoana na kula mayai

    kwa kila kuku mia nawapa nusu kilo ya chokaa bila kuichanganya na chochote.
  3. Qchicksolution

    Mbinu: Kuku kudonoana na kula mayai

    Sote tunafuga kuku ili kupata mayai au nyama kutoka kwa kuku hao,lakini mtafaruku hutokea pale kuku hao wanapoacha kula chakula na kuamua kulana wao kwa wao au kula mayai kabisa.kama ulishawahi kufuga kuku wengi utanielewa vizuri maana kuna uwezekano mkubwa ukawa umeshasumbuliwa sana na tabia...
  4. Qchicksolution

    Kuku wa kienyeji 5000 ndani ya robo acre

    Dhumuni sio kuwafurahisha kuku maana kwanza hauna uwezo wa kuwafurahisha kuku,dhumuni ni kufuga kwa tija katika eneo dogo ulilonalo,achana na mambo ya kupanga fito.
  5. Qchicksolution

    Kuku wa kienyeji 5000 ndani ya robo acre

    Kwa swala la gharama za hili banda ni wewe tu utajiongeza kulingana na sehemu uliyopo na ubunifu wako, kuhusu sehemu za kulia chakula tazama kwa mbele ya banda utaziona,chakula ukikiweka katika sehemu hizo hakipotei hata kidogo.
  6. Qchicksolution

    Kuku wa kienyeji 5000 ndani ya robo acre

    mkuu broiler ndio vizuri zaidi maana haya mabanda hayana tofauti na cages zinazouzwa madukani,layers kidogo ndio inaweza ikawa shida.
  7. Qchicksolution

    Kuku wa kienyeji 5000 ndani ya robo acre

    katika kupanda na kushuka unaweka ngazi simple tu wanapanda vizuri.
  8. Qchicksolution

    Kuku wa kienyeji 5000 ndani ya robo acre

    kwa broiler ndio linafaa zaidi.
  9. Qchicksolution

    Kuku wa kienyeji 5000 ndani ya robo acre

    Watu wengi wanaamini kwamba ufugaji na haswa wa kuku unahitaji eneo kubwa sana au mabanda makubwa sana kama nyumba ili uwe na tija ,lakini ukweli ni kwamba ndani ya eneo lenye ukubwa wa robo acre unaweza kufuga kuku wengi na kujipatia kipato kikubwa kama mtu anayefuga kwenye eneo la acre tano...
Back
Top Bottom