Recent content by Qatif

  1. Qatif

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

    Hapo lazima ubainishe, ukisema Shehe ni Jina tu ambalo anaitwa MTU yeyote wa kawaida. Lakini ukisema Sheikh (الشيخ ) Anakuwa mtu ambaye ametabahari katika elimu ya Dini, kwa maana ana elimu ya Dini kupitia muongozo wa Vitabu ambazo WANAZUONI wamevitunga na kuvikusanya.
  2. Qatif

    JamiiForums Tanzania FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

    Vyura wa mashamba ya miwa wanapeleka salamu kwa vyura wa Jangwani [emoji196] Simba Nguvu Moja [emoji881][emoji881] Simba SC
  3. Qatif

    JamiiForums Tanzania FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

    Tulia mambo ndo kwanza yameanza.
  4. Qatif

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe awaponda wachezaji wa Yanga SC kwa upigaji mbovu wa penati

    Yaani hata ya Onana ambaye Diara alipoteza maboya nayo siyo? Unataka penalty zipige kama Krosi au Kona [emoji1787]
  5. Qatif

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe awaponda wachezaji wa Yanga SC kwa upigaji mbovu wa penati

    Halafu si mara zote ukicheza vizuri utapata matokeo ya ushindi, kuna wakati mbinu ndo huamua matokeo ya ushindi hasa hizi game za kombe uwanjani.
  6. Qatif

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe awaponda wachezaji wa Yanga SC kwa upigaji mbovu wa penati

    Hayo ni mapema sana kutoa hukumu, ndo kwanza Ngao ya Jamii.
  7. Qatif

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe awaponda wachezaji wa Yanga SC kwa upigaji mbovu wa penati

    Halafu hapo hapo kwenye kupigwa kwa kasi, kuna wachezaji wengine wanatishia kwanza kupiga halafu golikipa akipotea kisha wanaachia shuti, na Penalti ya mwisho Diara aliwahi kutoka kwenye mstari.
  8. Qatif

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe awaponda wachezaji wa Yanga SC kwa upigaji mbovu wa penati

    Kutoka kwa Mchambuzi wa kituo cha Wasafi FM Eddo Kumwembe. Ahhhh ndio maana kila siku napoteza mapenzi na huu mchezo. Mchezo umekuwa laini sana well, nasikia hii ya kwamba kipa wa Simba Ally alikuwa anaondoka haraka katika mstari ndio maana Yanga wakakosa Penalti. Guys haya masheria yenu...
  9. Qatif

    JamiiForums Tanzania Simba yatwaa Ngao ya Jamii kwa Penati 3-1 dhidi ya Yanga, Ally Salim awa shujaa wa mchezo

    Akikujibu nishtue..! Maana yaonyesha ana maarifa mafupi yaani.
  10. Qatif

    JamiiForums Tanzania Kocha ana Ndevu mbaya kama Paka wa Wodi ya Mwaisela Muhimbili ndiyo mtegemee aifunge Yanga SC?

    Hii Timu haieleweki inataka nini, sasa subiri waje wakutane na Simba unaweza kudhani ni bingwa wa CAFCC.
  11. Qatif

    JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Naona mwisho umeweka emoji ya Nguvu Moja [emoji881][emoji881]Simba kama Maji.
  12. Qatif

    JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Safari hii usajili si kafanya yeye mwenyewe Yusuf..! Hii timu bado haijawa ya ushindani ni mbwembwe tu za usajili.
  13. Qatif

    JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Azam FC kila mwaka hawaeleweki nini hasa malengo yao. Vurugu nyingi kwenye usajili lakini hamna kitu wallah.
  14. Qatif

    JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Safi sana, aendelee kuwa hivyo hivyo
  15. Qatif

    JamiiForums Tanzania FT | Ngao ya Jamii: Yanga SC 2-0 Azam FC | Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 9, 2023

    Tuliwaambia kipindi kile, lakini hawakukubali, tegemeo ilikuwa kwa mchezaji mmoja TU
Back
Top Bottom