Usifikirie kuwa Misri au Tunisia walichagua hilo, na usitofautishe misri, tunisia na Tanzani, kote ni binadamu wanaishi na wanafikiria sawa. Kama unaamini kuwa sisi sote ni sawa usingeweza kundika mawazo yako finyu, kuwa Tanzania siyo Misri/Tunisia. Mbinu za kuondoa serikali zinafanana duniani...
Nafikiri mchangiaji ni mshabiki wa CCM au hajielewi maana ya Chadema kutaka kumuona raisi, kuandamana hata kwa raisi linamatokeo ambayo hata yeye hawezi kuyajua yatakuwa nini baadaye. Pili watanzania tunapaswa tujue kuwa CCM wanafikiri kuwa watatawala hadi mwisho wa dunia, ndio maana katika...
Ni suala la kusikitisha raisi kuongea na wazee na kuwaeleza mambo ambayo hata mwanafunzi wa darasa la pili huwezi kumdanganya. Mtoto wa miaka nne hutumwa dukani kuchukua sbuni, majni ya chai, sukari, mafuta ya kupikia chakula. Ukimuuliza kuwa sukari robo inauzwa shilingi ngapi? bila shaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.