Wanazengo wa huu mtaa mpo? Mm napita tu kuwapa hi maana toka jf ifungwe na washenzi wale ndio narejea tena, haya mapambano yaendelee mwez wa 8 unakuja huo mwez wa hela kwa wawekezaji!
sehemu muhimu zote iran alizotarget kupiga israel mwanzoni ameshazipiga, sasahivi hana haja Yakutumia nguvu kubwa, kuhusu gharama hata israel anapata hasara,
We unadhani iran mjinga kurusha makombola mengi kwa wakati mmoja? Wanafanya hivyo makusudi ili kuzichanganya na kuoutnumber israel intercepters...akirusha machache ni rahisi kuwa intercepted na mifumo ya ulinzi
Waisrael wenyewe wamehojiwa wamesema israel sio mahali salama kwa sasa, Israel imepokea kipondo kikali sana this time mpaka kwenye makazi ya watu ndio maana raia wamekua na hofu sana, pia israel kijographia anadisadvantage sababu eneo lake dogo vimondo vikishuka madhara yanakua makubwa,pia hamas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.