Kwanza cuf haina pesa za kampeni then wametoa masharti magumu kwa chadema ikiwa chadema hawakukubaliana na masharti ya cuf basi lipumba awe mgombea wa urais cuf na cuf itangaze rasmi kujitoa ukawa,ikiwa watajitoa ukawa na kusimamisha mgombea wao cuf hizo pesa za kampeni watazitowa kwa mkeo?----...
Kumbe mtarajiwa mwenye hana mpango anatishwa na yule mpumbavu nape tu kwa kusema Kuwa tayari amekosa sifa za kugombania kwa Kuwa watu wanaenda kumuomba agombee urais na yeye anawapiga watu stop wasiende kwake tena lowasa huna mpango katafute ngombe ufuge huko urais huwezi kama unatishwa na...
Huyu nkamia yuko kichama zaidi kuliko uhalisia wenyewe mimi nilishangaa kweli kusema kuwa ni tanzania pekee ndiyo inayorusha matangazo ya bunge wakati uingereza ina channel special kwa ajili ya bunge na mambo yote ya siasa shame on him kwa kusema uongo mchana kweupe but hiyo ndiyo kawaida ya...
Makonda ukija kuharibu mdahalo Siku hiyo wewe na kundi lako lazima muwajuwe wanaume waliowakata bikra mama zenu kwani hatutokubali kuahribiwa na nyinyi mafisadi wa ccm.
Tena Seif Ali iddi tunakupa onyo kali Kuwa huna ubavu wa kumtisha Maalim Seif,jaribu uone mziki wake Kama huatrudi kwa hao washenzi wenzako wa kitanganyika kwa kuogela kelbu unusu wee
Seif Ali iddi funga mdomo wako huna mandate ya kuwasemea wazanzibar kibaraka wa tanganyika kelbu mwizi mkubwa mh Maalim Seif anayo hiyo mamlaka ya kuwasemea wazanzibar kwa niaba yao kwani kaweka hapo kwa kura za wazanzibar sio wewe kibaraka ulieletwa kutoka tanganyika kuja kuimaliza zanzibar na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.