Recent content by Putina

  1. P

    JamiiForums Tanzania Britanicca: Alhamisi 28/08/2025 nitaleta Uzi ambao sidhani kama Taifa litabaki moja

    Hahahahahahah, jamaa anajaa sana, nahisi ni erythrocytes (seli nyekundu za damu!)
  2. P

    JamiiForums Tanzania Britanicca: Alhamisi 28/08/2025 nitaleta Uzi ambao sidhani kama Taifa litabaki moja

    Hahahahah kila mtu anahisi anaweza kutikisa na wakati huohuo hao wanaojigamba, hawawezi kutikisa hata walipokaa
  3. P

    JamiiForums Tanzania Watu Wenye Akili, tusikubali ujinga huu ! hata Mwl. Nyerere alikataa ujinga wa CCM, 1995 Kusimamisha Jitu la Hovyo!, Akachagua upinzani!

    Ni hisia zako tuu, humtaki baba levo??! Mwambie rafiki yako ahame Jimbo inawezekana sana tuu
  4. P

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    So kufa kwao ni furaha yako??! Pia kwamba walikufa kisa walikusulubu?!! Nabii eliya au musa sio??!! 😂😂😂😂 Uko vyedi, Mungu aendelee kukubariki
  5. P

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mamlaka ya Juu( Rais) ilipiga simu Moja tu, Rostam akapewa Mgodi wa Makaa ya Mawe

    Na walimpokea mwanamtandao kiongozi kabsa (lowasa) pamoja na rostam akiwa mfadhili wa lowasa!!! CDM hakuna wanachojua, yamejaa mambumbumbu tuu!!!
  6. P

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mamlaka ya Juu( Rais) ilipiga simu Moja tu, Rostam akapewa Mgodi wa Makaa ya Mawe

    Na wakasema hawataki tena rais mwenye historia ya umasikini kama MAGU!!! Walisema magu anafukuza wawekezaji, Mwaka 2015 rostam alikimbilia Kenya, wakaanza na maneno amekimbiza wawekezaji!!!
  7. P

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche akiri kama kutakuwa reforms ndogo zinazowezekana CHADEMA itaingia kwenye uchaguzi, asema kuna mambo ya kikatiba yanaweza kuchukua muda mrefu

    Walimtuma kwanza!! Yeye ndo anafuatia, baadae bagonza, mwisho kitima
  8. P

    JamiiForums Tanzania Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Ni mwanasiasa "mpinzani ndani ya upinzani"
  9. P

    JamiiForums Tanzania Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Shida ni Imani ya mtu, ni sawa na wale wanaosali novena, huku wengine hiyo nevena hawaiamini kabsa, unamsalia mtu albadir wakati haamini hiyo kitu, itampataje??!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Ukifuatilia matendo ya Hawa wa kuitwa "waaminio Mungu sana" tena hasa kwa kuamini Mungu atatenda baya kwa familia Fulani Ili familia Fulani nyingine ipate raha, utastaajabu mno!!! Kambona aliombea Nyerere kufa, maalim seif alimuombea Nyerere, cuf wakamuombea mkapa, akina slaa wakamuombea...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Huyo Mungu yeye hajui kuwa mtu anayemuweka atakuwaje?!! Acheni kumsingizia Mungu kwenye kila upumbavu!!! Kwamba hakuna mikono na akili ya kufanya jambo ni mpaka Mungu aue??! Je akifa ndo solutions??! Nani hafi bhana!!! Yeye unayemuombea mwenyewe anajua lazma afe, na anajua kufa sio lazma wewe...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Tanzania kila mtu amechanganyikiwa na mbaya zaid hakuna anayejua kuwa kuchanganyikiwa!!! Kifo hakijawahi kuwa solutions ya shida nyingi zetu, ndo maana vitani watu wanakufa na wengine wanakuja kuendeleza!!! Kutegemea kifo kuwa solutions ndo Ile ya magu mara akaja mama, naye wanaombea afe...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Imani tuu, na Imani ni kuamini, nothing More
  14. P

    JamiiForums Tanzania Voices from Within: Kama Moja ya Sababu za Kuitwa Kwake ni Udhalimu, Aliyemfuatia Akifanya Udhalimu, na Yeye Pia ...

    Kutwaliwa, kutwa kutwaliwa, dakika Moja mbele hujui linalokukuta, unatwaliwa wewe, na hujui kama umetwaliwa!!! Na hujui kuwa, wish yako ilikuwa wengine watwaliwe ila sio wewe
Back
Top Bottom